Job 5:15

15 aHumwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao;
huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Copyright information for SwhNEN